UAE (Dubai) hakuna mfumo Demokrasia, pia Hakuna NGOs ila wananchi wana-enjoy maisha

UAE (Dubai) hakuna mfumo Demokrasia, pia Hakuna NGOs ila wananchi wana-enjoy maisha

Bongo NGOs kama zote ila matukio kama yote UKIMWI na umaskini hadi kwenye kope. Wakati Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambapo Dubai ni mojawapo ya falme zake, hawana hizo mbanga ila wananchi wana-enjoy maisha.
Kwa sababu viongozi wao sio wabinafsi. In afrika mtawala unakuta anafurahia kuwa na hekalu katikati ya makazi ya watu ambao ni masikini wa kutupwa. Yani ana hekalu likiwa limezungukwa na heka kadhaa za ardhi... Barabara imechongwa rami hadi kwenye hekalu. Halafu baada ya hapo ni umasikini wa kutupwa
 
Back
Top Bottom