jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,404
- 4,973
Hivi hawa waarabu hawajui kuwa wanyarwanda (hasa watutsi) ni watu wenye akili kubwa kuliko wote huku Africa? Hawajui wanyarwanda ni wayahudi weusi waliopotea njia kutokea Israeli? Sasa inakuwaje wanabania VISA wanyarwanda halafu manchi ya ajabu ajabu kama Tanzania yanapeta? Yaani Super Power Rwanda ni ya kufananishwa na Burundi na Togo?
Hawajui Rwanda chini ya genius Paul Kagame ni namba moja kwa teknolojia Africa nzima? Hawajui huku Rwanda hakuna mgao wa umeme wala maji? Intaneti ni bure, barabara zetu zote lami! Hawajui Rwanda usalama ni kama huko Dubai tu watu wanalala milango wazi? Hawajui kuwa Rwanda ina viwanda vya magari na smartphone na hivyo ajira huku zipo nje nje? Hawajui kuwa Rwanda inakaribia kurusha satellite yake yenyewe?
Yaani kweli wanadai kuwa watutsi wanakwenda UAE kudangadanga mpaka wanaoverstay na kugeuka wahamiaji haramu? Yaani wanamaanisha kuwa Rwanda ni nchi ya njaa kama Sudan? Haya maendeleo yote hawayaoni au wanawaoneawivu?
Nisaidieni jamani maswali ni mengi.