Kama Iron Drome ilishindwa,huo upuuzi utaweza kweli!?Habari hii najua haitawafurahisha Waarabu-koko wa BONYOKWA lakini ujweli ndiyo huu-
Kulingana na ripoti ya Axios, Israeli ilituma kikosi kamili cha Iron Dome pamoja na vifaa vyake na wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Israeli kwenda Umoja wa Falme za Kiarabu kwenda kuilinda nchi hiyo dhidi ya nashambulizi ya kigaidi ya iran, , kufuatia uratibu wa moja kwa moja kati ya Benjamin Netanyahu na Mohammed bin Zayed Al Nahyan.
Ripoti hiyo inasema mfumo huo ulizuia makombora mengi ya Iran huku UAE ikikabiliana na mamia ya makombora na maelfu ya ndege zisizo na rubani. Hii ni mara ya kwanza Israeli kutuma Iron Dome na vikosi vyake katika ardhi ya kigeni wakati wa mapigano na Iran.
Hawakuweza kujilinda wao wataweza kuwalinda UAE hahaha kweli vichaa ni wengi dunianiHabari hii najua haitawafurahisha Waarabu-koko wa BONYOKWA lakini ujweli ndiyo huu-
Kulingana na ripoti ya Axios, Israeli ilituma kikosi kamili cha Iron Dome pamoja na vifaa vyake na wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Israeli kwenda Umoja wa Falme za Kiarabu kwenda kuilinda nchi hiyo dhidi ya nashambulizi ya kigaidi ya iran, , kufuatia uratibu wa moja kwa moja kati ya Benjamin Netanyahu na Mohammed bin Zayed Al Nahyan.
Ripoti hiyo inasema mfumo huo ulizuia makombora mengi ya Iran huku UAE ikikabiliana na mamia ya makombora na maelfu ya ndege zisizo na rubani. Hii ni mara ya kwanza Israeli kutuma Iron Dome na vikosi vyake katika ardhi ya kigeni wakati wa mapigano na Iran.
mkuu kamwambie Trump aache kufake assassination attemptKwa hiyo wewe ni mtaalamu kupita maafisa wa kijeshi wa UAE ?
Maana wao wamechagua Iron-dome baada ya kuona kazi yake nzuri kupopoa makombola ya Iran!!
Swali la msingi sana hili.Kama unazuia kwa nini wayahudi wakisika ving'ora wanakimbilia kwenye banker
Tayari Wafuga Midevu na Majini wameanza kupandisha Majini ngoja tumwite Mchungaji Gwajima awaombee majini yawatoke.Hawakuweza kujilinda wao wataweza kuwalinda UAE hahaha kweli vichaa ni wengi duniani
Hawakuweza kujilinda wao wataweza kuwalinda UAE hahaha kweli vichaa ni wengi duniaHabari hii najua haitawafurahisha Waarabu-koko wa BONYOKWA lakini ujweli ndiyo huu-
Kulingana na ripoti ya Axios, Israeli ilituma kikosi kamili cha Iron Dome pamoja na vifaa vyake na wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Israeli kwenda Umoja wa Falme za Kiarabu kwenda kuilinda nchi hiyo dhidi ya nashambulizi ya kigaidi ya iran, , kufuatia uratibu wa moja kwa moja kati ya Benjamin Netanyahu na Mohammed bin Zayed Al Nahyan.
Ripoti hiyo inasema mfumo huo ulizuia makombora mengi ya Iran huku UAE ikikabiliana na mamia ya makombora na maelfu ya ndege zisizo na rubani. Hii ni mara ya kwanza Israeli kutuma Iron Dome na vikosi vyake katika ardhi ya kigeni wakati wa mapigano na Iran.
Sawa Myahudi koko wa kutoka kibosho kweli Wayahudi wamekuharibu vibaya sana unanikumbusha vijana wakule Iramba walikuwa bila kuvuta petrol hawana raha exactly 💯 kama wewe bila kunusa uharo wa Tela Aviv huna raha.Tayari Wafuga Midevu na Majini wameanza kupandisha Majini ngoja tumwite Mchungaji Gwajima awaombee majini yawatoke.
UAE wamechagua Iron-Dome baada ya kuona kazi nzuri iliyokuwa onafanya kuyapopoa makombola ya Iran!!
Sasa wewe uliyepandisha Kisukari na Majini utakufa kibudu bure UAE wameamua wewe Mwarabu-koko endelea kujiliza-liza tu
ISRAEL bila defense system (Iron dome, Davis"s Sling na Iron Beam) ingeshateketezwa. Iran ki usalama iko UCHI 100%Hawakuweza kujilinda wao wataweza kuwalinda UAE hahaha kweli vichaa ni wengi duniani
Naona umekosa hoja umeanza mipasho!!Hawakuweza kujilinda wao wataweza kuwalinda UAE hahaha kweli vichaa ni wengi dunia
Sawa Myahudi koko wa kutoka kibosho kweli Wayahudi wamekuharibu vibaya sana unanikumbusha vijana wakule Iramba walikuwa bila kuvuta petrol hawana raha exactly 💯 kama wewe bila kunusa uharo wa Tela Aviv huna raha.
Mama yako anayabusu kila sikuWanaogopa kuona Makalio yako meusi mno!!
Umejibu kwa jazbaWanaogopa kuona Makalio yako meusi mno!!
Swali la msingi sana hili.
Aliyekudanganya mifumo hiyo haijalinda anga lake nani?Hapo anafanya biziness! Kama mifumo hiyo haijalinda anga lake,sidhani kama italinda anga za waarabu!
Tatizo watu kuelewa mambo mapicha picha ya kina Rambo Arnold nk. Yamefanya kusoma matukio hawawezi !!!Kwahyo Israel ina air defense bora zaidi kuliko USA ambae kambi zake zilipigwa.
Na hapo hapo Israel mqkombora mengi yalishuka yakaharibu miji yao.
Tatizo kubwa hizi vita zina propaganda sana kuliko uhalisia wa mambo.
Naamini kama Iran angekuwa kabondwa yupo hoi Marekani na Israel wasingesimamisha vita.
Na hadi saa hizi pale Tehran kungekuwa na utawala mpya kabsa.Wala Hormuz asingekuwa anabembelezwa kuifungua.
Jamani tujifunze kutumia akili zetu sio zakukopa.
Mfano sisi Tanzania tuibonde Zambia kwelikweli halafu gari zetu za mizigo ziwe zinahitaji kupitisha mizigo kwenda nchi jirani.Je tutaibembeleza ifungue mpaka au tutapeleka kibabe maana tutakuwa tunaitawala.
Sasa kama USA na ISRAEL wameiacha hoi IRAN inawezekanaje aweze kuzuia meli yoyote ile kupita hadi yeye aamue.