Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,762
- 21,843
UAE na Qatar zinashawishi washirika kusaidia kumshawishi Trump 'kufikia njia ya mkato ambayo itawezesha operesheni za kijeshi za Marekani dhidi ya Iran ziwe fupi', kulingana na ripoti ya Bloomberg.
Ikumbukwe kimahesabu endapo vita itakuwa ndefu, kiuchumi siyo tu Iran itapata hasara kiuchumi, bali nchi zote za ukanda ule zitapigwa na mdororo wa uchumi kutokana na mbali mbali ikiwemo kusitishwa kwa usafishaji wa mafuta baada ya Mlango wa Hormuz kufungwa, pia usafiri wa anga kusitishwa utaathiri pakubwa utalii na biashara yao ya usafiri wa anga.
Pia Marekani na Israel wanaingia gharama kubwa kutungua drones na missiles za Iran, kwani drone na missiles za Iran zinawagharimu ma-elfu kuzioperate, wakati Israel na Marekani wanatumia mamilioni kuzi-intercept hizo drones na missiles.