wamejaa sana pale UAE na mitikasi mingi ya mapicha mapicha.
Hivi kuna wanaijeria wanaokwenda kufa kazi za uhouse girl uarabuni?
SERIKALI YA TANZANIA ONGEZENI UMAKINI KWENYE UTOAJI WA PASSPORT, maana kituo kinachofuata ni kutafuta blue pass ya TZ.
kwaheri Tehrani, uelekeo Basra na Fallujah.