Uagizaji wa bidhaa mtandaoni

Uagizaji wa bidhaa mtandaoni

yuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
375
Reaction score
265
Mliyowahi kuagiza bidhaa mitandaoni naombeni uzoefu ili nifikiwe na mzigo wangu kwa urahisi na uaminifu nifanyeje?

Na vitu gani nahitaji kuwa navyo ili niagize laptop
Na je nikiagiza laptop iliyopo kwenye picha pale kwenye tangazo itakuja yenye specification exactly hizo hizo au kuja uchakachuzi msaada wenu tafadhali
 
Back
Top Bottom