MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,318
- 6,391
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi, usihatarishe pesa yako ilhali i kuna njia salama.
Sawabo swala la utapeli kwa kiasi fulani limepungua kwani yoyote anaetangaza kupitia wamepasishwa na hao hao tradecarview, mimi toka 2007 nimekuwa nikiagiza na hata siku moja sijapata shida. Na kampuni nilizoagiza ni:Real motors mara 2, Yuasa mara 3,Meteor co mara 2,Royal motors mara moja na mwisho ni mwezi uliopita West coast co. Kupitia pay trade ni kama security tu lakini wengi walio chini ya tradecarview ni wakweli.