Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi, usihatarishe pesa yako ilhali i kuna njia salama.
Hebu nenda Japanese Used Cars | BE FORWARD wana magari mazuri and most cheapest and u can trust them. Wana stock level nzuri pia.
tradecarview is just a portal na kuwa makini matapeli ni wengi sana. Ukienda kwenye link yao ya SCAM u can see yourself.
Kama muhimu tumia paytrade.
Watch out n be carefully na kabla ya kutuma sai salamu maria mara 70
Asante kwa maelezo, swali la nyongeza? je ni kiasi gani hawa jamaa wa CLEARING natakiwa kuwalipa? na je kuna malipo gani mengine baada ya kulipa watu wa TRA?
wazee hakuna kitu naogopa kama kununua gari kwa kutuma hela,hivi kuna tofaout ya bei kati ya kununua hapa au kuagiza?