naombeni ushauri..
mimi nilimaliza kidato cha nne 2010 na nilifanikiwa kupata history- C na civics-C ...mwaka Jana nilirudia(2012)
nikapata geography-C na kiswahili-B
je naweza kwenda government schools??
Na suala lingine mimi nataka kuchukua combination ya HGK je badae itanihusisha na taaluma gani???
naombeni ushauri wenu.!