King Innocent
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 1,046
- 715
Ni kweli mkuu ila hapa nchini kwetu serikali haijaweka mkazo ,tatizo ni kwamba serikali imejikita sana kwenye 1.kujenga shule za kata nyingi 2.kuajiri walimu wengi wanasahau hata mishahara ni kitu muhimu sana cha kukiangalia haiwezekani tuseme tunataka kuboresha elimu wakati mishahara ni mdogo sana inakera sana mwalimu mwenye CHETI alipwe 296,000/=(ambayo ni kama posho ya nyumba ya wanayopewa mawakili wa serikali) ,DIPLOMA 432,000/ =(ambayo ni sawa na posho ya JWTZ),DEGREE 589,000/= kwa mishahara hii tutapiga kelele sana lazima serikali iangalie salaries za walimu kama moja ya hatua ya kuboresha elimu tanzania! nchi kama botswana waalimu wanapewa kipaumbele sana wanapewa nyumba na gari! naandika comment hii nikiwa na masikitiko sana kuona mtu aliyenifundisha ,kusoma,kuhesabu na kuandika hapewi maslahi ya kuridhisha CWT piganieni haki zenu! miaka ya themanini na tisini walimu walikuwa na TEACHING ALLOWANCE imeenda wapi siku hizi? au serikali haijatoa kipaumbele kwenye sekta ya ELIMU daaah
Maendeleo ya nchi na jamii yeyote hutegemeana na kipaumbele katika taaluma ya ualimu. Hu ni ukweli usiokubalika kwa nchi nyingi za kiafrika lakini kwa nchi zilizo endelea kama Marekani na Uingereza moja ya fani inayothaminiwa sana ni fani ya ualimu na nifani ngumu sana kupata ajira ya ualimu kwenyehizo nchi. Mwalimu akiwa dhaifu atazalisha daktari dhaifu, wanasheria na wanauchumi dhaifu. Ufike wakati sasa serkali ijue umuhimu wa taaluma hii katika kuleta maendeleo nchni.
nikweli mkuu hiki nikilio cha mda mrefu hasa kwenye maslahi ya walimu, mshahara hautoshi kununua chakula cha kutosha, kulipa pango na kupata huduma nyingine za kijamii, ili mtu aweze kufanyakazi kwa ufasaa anatakiwa kisaikolojia na kimwili awe vizuri na hiki kitu wanakosa walimu wetu na tunasafari ndefu sana kuinua elimu yetu labda serkali itakapotambua umuhmu wa walimu wetu na kuwalipa mshahara wa kuridhisha ndipo mageuzi makubwa ya kielimu yatakapo tokea.Ni kweli mkuu ila hapa nchini kwetu serikali haijaweka mkazo ,tatizo ni kwamba serikali imejikita sana kwenye 1.kujenga shule za kata nyingi 2.kuajiri walimu wengi wanasahau hata mishahara ni kitu muhimu sana cha kukiangalia haiwezekani tuseme tunataka kuboresha elimu wakati mishahara ni mdogo sana inakera sana mwalimu mwenye CHETI alipwe 296,000/=(ambayo ni kama posho ya nyumba ya wanayopewa mawakili wa serikali) ,DIPLOMA 432,000/ =(ambayo ni sawa na posho ya JWTZ),DEGREE 589,000/= kwa mishahara hii tutapiga kelele sana lazima serikali iangalie salaries za walimu kama moja ya hatua ya kuboresha elimu tanzania! nchi kama botswana waalimu wanapewa kipaumbele sana wanapewa nyumba na gari! naandika comment hii nikiwa na masikitiko sana kuona mtu aliyenifundisha ,kusoma,kuhesabu na kuandika hapewi maslahi ya kuridhisha CWT piganieni haki zenu! miaka ya themanini na tisini walimu walikuwa na TEACHING ALLOWANCE imeenda wapi siku hizi? au serikali haijatoa kipaumbele kwenye sekta ya ELIMU daaah
ushauri wako ni mzuri sana nchi kama kenya nao wameanza kufanya hivyo.nakubaliana na wewe 100% bt nashauri wenye dv 1&2 ndo wawe walio walimu afu chujio la mwisho ndo waende fani zingine yan hapo hata mkilalamika mafao madogo mkuu wa kaya atawaongezea had em na machench chench..lakin hali ikiendelea kuwa hivi yan hata mpate mwakishi mahakama ya dunia hamtashinda kesi....
nakubaliana na wewe 100% bt nashauri wenye dv 1&2 ndo wawe walio walimu afu chujio la mwisho ndo waende fani zingine yan hapo hata mkilalamika mafao madogo mkuu wa kaya atawaongezea had em na machench chench..lakin hali ikiendelea kuwa hivi yan hata mpate mwakishi mahakama ya dunia hamtashinda kesi....
ushauri wako ni mzuri sana nchi kama kenya nao wameanza kufanya hivyo.
so udaktari in practice inawahitaji waliopata division 4.....!hebu fikiria tena
alitepata division 4 form four na kupata certificate anauwezo wa kumfundisha primary level ili afike form1
then aliyepata division 4 form six na kupata stashahada anaweza kufundisha_ mwisho form 4
then aliyefaulu form six na kupata shahada anafundisha A-level....!
hii series ni angalau kuliko ww unayetakaa. division 5 akasome udaktarii ......
tambua ugunduzi kwanza then ndo elimu na ugunduzi unahitajii..........!over
QUANTITY SURVEYOR
ushauri wako ni mzuri sana nchi kama kenya nao wameanza kufanya hivyo.
huo n ukweli kabisaila sasa jamii yetu ikoje mfano mzuri n kama 2nayotaraj tokea januari mpaka sasa n danadana 2 had leo[/QUOT
na wewe ni mwalimu au mchangiaji...?
by the way mwandiko wako mbayaa
Mwalimu si lolote wala chochote bali ni mkatirishaji tu. Amekaririshwa nae anakuja kukaririsha. Mambo yote makubwa na ugunduzi wote duniani umefanywa na watu walikataa kufuata ukaririshaji wa waalimu. Kama Watu wanafaulu sababu ya waalimu basi hata wengi wanaofeli sababu ni waalimu haohao. Je tuwasifu kwa lipi?
Mtu yeyote aliyesoma na kufaulu vizuri anakumbuka nguvu alizolazimika kuchukua sababu aliona wazi akisubiri waalimu ataadhirika. Baadaye walimu wanajitapa wamefaulisha. What a shame!! Tufike mahali waalimu muelezwe ukweli. Mnahusika kuharibu maisha ya watu saana huku mnadai credit.
Mwalimu si lolote wala chochote bali ni mkatirishaji tu. Amekaririshwa nae anakuja kukaririsha. Mambo yote makubwa na ugunduzi wote duniani umefanywa na watu walikataa kufuata ukaririshaji wa waalimu. Kama Watu wanafaulu sababu ya waalimu basi hata wengi wanaofeli sababu ni waalimu haohao. Je tuwasifu kwa lipi?
Mtu yeyote aliyesoma na kufaulu vizuri anakumbuka nguvu alizolazimika kuchukua sababu aliona wazi akisubiri waalimu ataadhirika. Baadaye walimu wanajitapa wamefaulisha. What a shame!! Tufike mahali waalimu muelezwe ukweli. Mnahusika kuharibu maisha ya watu saana huku mnadai credit.
huo n ukweli kabisaila sasa jamii yetu ikoje mfano mzuri n kama 2nayotaraj tokea januari mpaka sasa n danadana 2 had leo[/QUOT
na wewe ni mwalimu au mchangiaji...?
by the way mwandiko wako mbayaa
mwandiko usiwe hoja, muhimu ni ujumbe.
huo n ukweli kabisaila sasa jamii yetu ikoje mfano mzuri n kama 2nayotaraj tokea januari mpaka sasa n danadana 2 had leo[/QUOT
na wewe ni mwalimu au mchangiaji...?
by the way mwandiko wako mbayaa
mwandiko si hoja, muhmu ni ujumbe ufike.
bila kuwa na msingi mzuri wa elimu bado fani yako itakuwa dhaifu. Mwalimu ndie mjenzi na msingi mkubwa wa fani yako ndo mana aliyesoma masomo ya sanaa katu hawezi kusoma udaktari kwasababu hana msingi na masomo ya science.
nayaheshimu wawazo yako mkuu japo yanauelekeo hasi katika taaluma ya ualimu. Naomba unipe mfana wa mgunduzi yeyote aliyekataa elimu. Si kweli mwalimu anakaririsha mfano kunamwanafilosofia wa kigiriki Socret aliyeish miaka 500,bc kabla ya Yesu alikuwa mwalimu na alihimiza ufundishaji uwe kwa vitendo , learning by doing. Pia huyu ndie mwalimu wa mwanafilosofia maarufu na mtaalamu wa hesabu plato. Hoja zako hazina ukweli kwani bila mwalimu usingeweza kutumia computer au simu yako kuandika haya hapa jf. Ukweli utabaki kuwa mwalimu ni nguzo ya taaluma nyingine.