King Innocent
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 1,046
- 715
Maendeleo ya nchi na jamii yeyote hutegemeana na kipaumbele katika taaluma ya ualimu. Hu ni ukweli usiokubalika kwa nchi nyingi za kiafrika lakini kwa nchi zilizo endelea kama Marekani na Uingereza moja ya fani inayothaminiwa sana ni fani ya ualimu na nifani ngumu sana kupata ajira ya ualimu kwenyehizo nchi. Mwalimu akiwa dhaifu atazalisha daktari dhaifu, wanasheria na wanauchumi dhaifu. Ufike wakati sasa serkali ijue umuhimu wa taaluma hii katika kuleta maendeleo nchni.