mwandiko si hoja, muhmu ni ujumbe ufike.
jamii forum for GREAT THINKERS and always are smart!! over
QS
Ni wale ambao tajeti yao kubwa ni mapato baadae wito huinuka na kuwa na nguvu wazulumiwapo hufanya mgomo baridi wenye kuwafurahisha wanafunzi. Zaidi huwashauri watoto wajiunge na tuition aifundishayo ili kuongeza mapato na hao wajiungao tuition hufaulu wote.