Ualimu ndio mama wataaluma zote duniani.

Ni wale ambao tajeti yao kubwa ni mapato baadae wito huinuka na kuwa na nguvu wazulumiwapo hufanya mgomo baridi wenye kuwafurahisha wanafunzi. Zaidi huwashauri watoto wajiunge na tuition aifundishayo ili kuongeza mapato na hao wajiungao tuition hufaulu wote.
 
....!!!
 
yaah nimekuelewaa

target yao ni mkwanjaa
 
muhimu ni kila mmoja asome taaluma anayoipenda kadiri ya kipaji chake, na kila taaluma iheshimiwe. mbona kuna watu wamepata div 4 na leo wanasoma engineering kwenye college?
 
Back
Top Bottom