Ualimu ni kazi kweli ila..........

Ualimu ni kazi kweli ila..........

yamoyoni mwangu

Senior Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
106
Reaction score
31
Nipo Moshi mjini vipi wenzangu ni mwalimu yupi unayemkumbuka shuleni sana enzi ukiwa sekondari? Na alifanya nini? Mimi pale Anna Mkapa Sekondari namkumbuka Nkya yaani...........simalizii.vipi Rau,Mji mpya,Msaranga,J.k,Kiboriloni na Msasani tukumbushane.usiku mwema masela
 
Back
Top Bottom