Isack B Member Joined Aug 21, 2014 Posts 73 Reaction score 13 Oct 29, 2014 #1 Mambo vipi jamaa zangu!? Nauliza majibu kwa walioomba mkopo HESLB wanafunzi waliodahiliwa diploma ya elimu (special diploma in education) katika chuo kikuu cha Dodoma UDOM yametoka au bado? Msaada
Mambo vipi jamaa zangu!? Nauliza majibu kwa walioomba mkopo HESLB wanafunzi waliodahiliwa diploma ya elimu (special diploma in education) katika chuo kikuu cha Dodoma UDOM yametoka au bado? Msaada
Benny13 Member Joined Jan 31, 2014 Posts 32 Reaction score 6 Oct 29, 2014 #2 Bado HESLB hawajatoa majibu ila naamini siku si nyingi watatoa ndugu yangu......!
M Muharami Kalwa Member Joined Aug 21, 2014 Posts 23 Reaction score 0 Oct 30, 2014 #3 Vuta subira...mkuu