Ualimu stashahada maalum ya Sayansi na Hisabati

Ualimu stashahada maalum ya Sayansi na Hisabati

Isack B

Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
73
Reaction score
13
Mambo vipi jamaa zangu!? Nauliza majibu kwa walioomba mkopo HESLB wanafunzi waliodahiliwa diploma ya elimu (special diploma in education) katika chuo kikuu cha Dodoma UDOM yametoka au bado? Msaada
 
Bado HESLB hawajatoa majibu ila naamini siku si nyingi watatoa ndugu yangu......!
 
Back
Top Bottom