Ualimu wa Arts siyo kipaumabele HESLB

tatanyengo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
1,133
Reaction score
280
Katika miaka ya hivi karibuni wahitimu wa masomo ya sekondari wamekuwa wakiomba kusomea ualimu ktk vyuo vikuu kwa lengo la kupata mkopo. Lakini kwa mwaka 2014/2015 kipaumbele ni kwa waombaji waliodahiliwa katika ualimu wa Sayansi na Hisabati. Kwa hiyo mwombaji wa ualimu wa arts usitegemee kupata mkopo kwani siyo kipaumbele.
 
ukisoma vizuri guidebook ya tcu pamoja na guidelines za heslb utagundua kuwa education arts ipo kwenye course ambazo zina priority ila kwa kigezo cha kuwa na masomo mawili ya kufundishia
 
ukisoma vizuri guidebook ya tcu pamoja na guidelines za heslb utagundua kuwa education arts ipo kwenye course ambazo zina priority ila kwa kigezo cha kuwa na masomo mawili ya kufundishia

yeah uko sahihi manake guideline zimebainisha hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…