tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 280
Katika miaka ya hivi karibuni wahitimu wa masomo ya sekondari wamekuwa wakiomba kusomea ualimu ktk vyuo vikuu kwa lengo la kupata mkopo. Lakini kwa mwaka 2014/2015 kipaumbele ni kwa waombaji waliodahiliwa katika ualimu wa Sayansi na Hisabati. Kwa hiyo mwombaji wa ualimu wa arts usitegemee kupata mkopo kwani siyo kipaumbele.