UALIMU

UALIMU

Tengeneza akaunti kwenye tovuti ya ajiraportal, baada ya hapo ficha soni kwenye kwapa na anza kuomba temporary position kwenye shule za private, wakati hayo yote yakiendelea anzisha kituo cha kukatia mapindi (Tuition Centre). Hapa zitafune topic ngumu zote, ondoa shudu na takataka na anza kuwa-spoon feed madogo pindi rahisi na nyepesi kushikika.

Hapa utajenga sana jina!
 
Hakuna GPA rasmi ya kuajiriwa, kikubwa uwe tayari kufanyakazi popote ndani ya nchi hii
 
Mwalimu unajua sometimes mnashangaza sana yaani. Kweli mwalimu tena wa Physics na hesabu unauliza maswali haya kweli

Mbona ni homework rahisi sana hii mkuu kuliko yale ma calculus mliyofanya?
 
NAOMBENI MNISAIDIE KIDOGO,, NIMECHANGANYIKIWA!

HIVI NINA DEGREE YA UALIMU WA MATH'S AND PHYSICS, NACHOHITAJI KUJUA NI KWAMBA NARUHUSIWA KUOMBA AJIRA SERIKALINI ANGALAU NIKIWA NA GPA YA NGAPI.¿ PIA NI SIFA GANI ZINAZOHITAJIKA.¿
Si mna ajira ya kusimamia uchaguzi permanent.
 
Mwalimu unajua sometimes mnashangaza sana yaani. Mweli mwalimu tena wa Physics na hesabu unauliza maswali haya kweli

Mbona ni homework rahisi sana hii mkuu kuliko yale ma calculus mliyofanya?
Mkuu ndio kuchanganyikiwa kwenyewe msamehe tu
 
Mwalimu unajua sometimes mnashangaza sana yaani. Mweli mwalimu tena wa Physics na hesabu unauliza maswali haya kweli

Mbona ni homework rahisi sana hii mkuu kuliko yale ma calculus mliyofanya?
We mpe maelekezo anayohitaji acha umama
 
Mwalimu unajua sometimes mnashangaza sana yaani. Mweli mwalimu tena wa Physics na hesabu unauliza maswali haya kweli

Mbona ni homework rahisi sana hii mkuu kuliko yale ma calculus mliyofanya?
😁😁🎉😁😁,, nisaidie kuyatatua sasa mkuu!
 
Fuata maelekezo ya tangazo la kazi. Sidhani kama wameeweka kigezo cha GPA.

Kuna watu wana GPA ya 2.0 na wapo makazini.
 
Mwalimu unajua sometimes mnashangaza sana yaani. Kweli mwalimu tena wa Physics na hesabu unauliza maswali haya kweli

Mbona ni homework rahisi sana hii mkuu kuliko yale ma calculus mliyofanya?
Huyu ambaye ana hofu ya GPA unadhani amefanya la maana sasa?
 
Back
Top Bottom