kwa kweli ni wazi kuwa swala hili linawezekana kabisa,ila problem ni kwa vijana wachanga kwenye ndoa wanaingia kwenye ndoa na wenza ambao hawakuwish kuwa nao ktk ndoa walishajiwekea picha ya mtu kama fulani ila kwa kuwa amemkosa na mazingira yanamtaka kuoa inabidi amwoe mtu ambae hakupanga kuwa nae.NAKUHAKIKISHIA KAMA UNA MTU UNAEMPENDA HUWEZI KUWA NA MWANAMKE MWINGINE KWANZA UNAKUWA UNAONA KINYAA KUGUSANA NA MTU MWINGINI KABISAAAA.....CHELEWA KUOA AU KUOLEWA HADI UMPATE WA MOYOOONI WAKO