kwa kweli ni wazi kuwa swala hili linawezekana kabisa,ila problem ni kwa vijana wachanga kwenye ndoa wanaingia kwenye ndoa na wenza ambao hawakuwish kuwa nao ktk ndoa walishajiwekea picha ya mtu kama fulani ila kwa kuwa amemkosa na mazingira yanamtaka kuoa inabidi amwoe mtu ambae hakupanga kuwa nae.NAKUHAKIKISHIA KAMA UNA MTU UNAEMPENDA HUWEZI KUWA NA MWANAMKE MWINGINE KWANZA UNAKUWA UNAONA KINYAA KUGUSANA NA MTU MWINGINI KABISAAAA.....CHELEWA KUOA AU KUOLEWA HADI UMPATE WA MOYOOONI WAKO
una Rifle ama AK47 uikoki kabisa.....haya MAGEGO yanaweza kuwa na madhara
halafu Rose kwani, RR hana MAGEGO?:nono::nono:
Nimeipenda posti yako na Jina lako pia.
Hebu kagua PM yako huko. Babu kakusalimu.
Asante sana ndugu mkuu wa kiti....nimemwandalia Asprin kasapraiz kadogo....like kabomu ka kakutengua viuno....
:A S-coffee::A S-coffee::ranger::ranger::ranger::A S-danger::A S-danger:
Hivi kumbe rule # 3 yaweza leta maafa namna hii? Kila siku namshauri mwenyekiti tuifanyie rehabilitation lakini hataki kunisikia. Ona sasa mweka hazina natishiwa maisha hapa!
:nono::nono::nono::nono:....uropokaji wa keyboard sio staili yangu....mark it!
:tape::tape:
Sikutishii maisha bana.....natafuta bomu la kuvunja kabisa kiuno....
For some reason I happen to be missin you...I jus dont know the reason yet!! :becky:
For some reason I happen to be missin you...I jus dont know the reason yet!! :becky:
And I think I have missed the Saint too....
Hivi kumbe rule # 3 yaweza leta maafa namna hii? Kila siku namshauri mwenyekiti tuifanyie rehabilitation lakini hataki kunisikia. Ona sasa mweka hazina natishiwa maisha hapa!
tena tutaanza na wewe kama Mweka hazina unayekusanya michango,,,,,,upo vulnerable zaidi kuna vibaka n.k...uzuri has to be redefined....hahaha
Hommie maslahi ya babu..... unajua magego hayang'ati ila yanatafuna. Sasa babu kwa kuwa hana meno, anang'atia magego. Roya aweza kuwa na magego, lakini pia ana meno, yanini ang'atie magego?
Rose njoo babu akung'atie magego. Hayana madhara. Ni dawa.
For some reason I happen to be missin you...I jus dont know the reason yet!! :becky:
And I think I have missed the Saint too....
Chairman, umeona Smiles kakumiss kule?
Hauwezi kuwa na ile hali
:tape::tape::tape::tape: