Uaminifu (100%) ktk ndoa inawezekana?

Ni ngumu sana kwa uaminifu wa 100% siku zote. Maana tamaa za mwili zimekuwapo baada ya uasi wa adamu na eva na tunaelezwa kuwa dhambi za mwili ndizo zinazopeleka watu wengi motoni. hata kwa wale ambao kwa nje wanaweza kuonekana watakatifu kumbe wana matendo maovu wanayofanya kwa kificho na Mungu ndiye anayeyaona. Tafuta kitabu cha ushuhuda na maono ya motoni na mbinguni (Nadhani vinapatikana Mbeya).
Ila waaminifu kwa 100% wapo na bila shaka watakuwa wachache sana wenye neema za pekee.:thinking:
 
Kweli umeoa juzi ngoja ifike kuanzia 5 year na kuendelea majibu utayapata kuwa na subira tu
 
naunga mkono hoja!....
MSISITIZO:hili swali lijibiwe na watu wanaoishi na wanawake/wanaume majumbani mwao.....!i mean watu waliooa/walioolewa
dooogo inawezekana kabisaaa!
 

Acheni kuwasingizia Adam na Eva kwani wao ndio wanaokufanya wewe uisaliti ndoa yako
 
awe na ndoa ngap jaman?
ni mimi na yeye tu ndo tuna ndoa
ivi tulisahau kukupa kad eennh
mweee tusamehe
dig dig mwenzako alkuja...ajakupa salam?

Umeishatoka nje ya ndoa yako mara ngapi? Lol!!
 
roya ni towashi....!hawezi kuoa
kwan unajua kuna aina ngap za ndoa?
ye towash mim sista perepetua so ngoma inogile tu
ptia brazil leo nkuonyeshe pete ya ndoa ya towash na sista inafananaje.....!!!!
 
Umeishatoka nje ya ndoa yako mara ngapi? Lol!!
sjawai toka nje ya ndoa
na roya pia hajawai toka nje
he z ma king!!!!!
m his queen!!!!!!
upo babuu?dig dig mkubwa wewe tokaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!1
 
sjawai toka nje ya ndoa
na roya pia hajawai toka nje
he z ma king!!!!!
m his queen!!!!!!
upo babuu?dig dig mkubwa wewe tokaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!1
i am YOUR king....!
roya ni servant wangu
huyo dig dig unamwonea bure.....!
 
sjawai toka nje ya ndoa
na roya pia hajawai toka nje
he z ma king!!!!!
m his queen!!!!!!
upo babuu?dig dig mkubwa wewe tokaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!1

BONDENI HOTELI
ROOM NO 777
GHOROFA YA TATU
MAGOMENI MAPIPA

Si ulikuwa na Baba G siku mbili zilizopita
 
Umeishatoka nje ya ndoa yako mara ngapi? Lol!!

sina sababu ya kutoka nje ya ndoa
roy ananipa vyooooooooooooote yan dah..NA NKICHEK NJE NAONA vidig dig tu vnang'aa sharubu..sasa nivifate vya nini?yan nimwache simba ndan niende kwa dig dig?u must b jokng jaman...
kaz kwenu madig dig ...mwambie mfalme wako ..KATOKA MARA NGAP?
 
mi natoka kila mara moja kwa ciku...!
roya anatoka mara tatu kwa ciku...!
 
BONDENI HOTELI
ROOM NO 777
GHOROFA YA TATU
MAGOMENI MAPIPA

Si ulikuwa na Baba G siku mbili zilizopita

wewe wewe komaaaaaaa
ustake nipewe talak mie na roy wangu
towash wangu mwenyewe stak kumuudhi
...ndo shda ya dig dig yan hawawez kutunza siri jaman ahh..nikiachwa uku ntakuja ukouko!!!!!:yield::yield::yield::yield::yield:
 
mi natoka kila mara moja kwa ciku...!
roya anatoka mara tatu kwa ciku...!
ni kweli anatoka mara tatu kwa siku towash wangu
saa12;anaenda kwenye misa ya asubui st josef
saa6;anaenda misa ya mchana anaenda st maxmillan mwenge
saa12;anaenda misa ya jion st peters
n u?
 
wewe wewe komaaaaaaa
ustake nipewe talak mie na roy wangu
towash wangu mwenyewe stak kumuudhi
...ndo shda ya dig dig yan hawawez kutunza siri jaman ahh..nikiachwa uku ntakuja ukouko!!!!!:yield::yield::yield::yield::yield:
umeona eeh!......?!?!
ndo maana unamchiti mpaka basi
 
ni kweli anatoka mara tatu kwa siku towash wangu
saa12;anaenda kwenye misa ya asubui st josef
saa6;anaenda misa ya mchana anaenda st maxmillan mwenge
saa12;anaenda misa ya jion st peters
n u?
huwa tunabook chimba kimoja gest na kuchangia gharama!....
yeye ni major-shareholder na three quarters ya gharama hulipia yeye kwa sababu yeye hutumia mara tatu kwa watu watatu tofauti....!mi mara moja tu!

actually ni chumba kile kile cha ciku ile:smile-big:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…