Ni ngumu sana kwa uaminifu wa 100% siku zote. Maana tamaa za mwili zimekuwapo baada ya uasi wa adamu na eva na tunaelezwa kuwa dhambi za mwili ndizo zinazopeleka watu wengi motoni. hata kwa wale ambao kwa nje wanaweza kuonekana watakatifu kumbe wana matendo maovu wanayofanya kwa kificho na Mungu ndiye anayeyaona. Tafuta kitabu cha ushuhuda na maono ya motoni na mbinguni (Nadhani vinapatikana Mbeya).
Ila waaminifu kwa 100% wapo na bila shaka watakuwa wachache sana wenye neema za pekee.:thinking:
Ila waaminifu kwa 100% wapo na bila shaka watakuwa wachache sana wenye neema za pekee.:thinking: