Uaminifu (100%) ktk ndoa inawezekana?

Uaminifu (100%) ktk ndoa inawezekana?

huyu bado yuko hanemuun!
angetuuliza siye wa ''miaka mingi''

Na wewe wa siku mingi naomba nikuulize wewe kumswali la kikongomani:

Hivi Mume wa Anna Abdallah ni Abdallah mwenyewe au Pius Msekwa? Mi iko confused bana!
 
Habari Senyu nduku saangu?

babu ndo anaamka nakuta hii sredi imekimbiswa na ngufu sa vijana bana! Kuna mutu yoyote nawesa muambia babu kwamba hapa leo MNAJADILI ndoa za Kina Mama Tereza au hizi za kina JACOB ZUMA?
hebu liangalie bandiko hili la kijana ambae nadhani yuko hanemuni au katoka jumapili iliyopita ilhali na yeye anajiita mwanandoa

Katika siku za karibuni tulikuwa ktka maongezi vijana wenzangu kadhaa me na ke mchanganyiko. Katika kuchangia mojawapo ya hoja nikasema "Siwezi kuwa na nyumba ndogo wakati mke wangu nampenda na nimemchagua mwenyewe". Ajabu ni jinsi nilivyoshambuliwa na wasikiizaji wangu, (wenye ndoa na wasio na ndoa) kuonyesha kutokubaliana nami huku wakisema "Unayasema kwa kuwa tu umeoa juzi".

Sasa naomba msaada wemu wadau, je, Inawezekana kuwa na mwanandoa mwaminifu 100%? Na kama ndiyo, ni wangapi ktk 100?
 
lol...unayo mingapi baba G?...kama baba E anayo 15, sasa huyu huyu baba E au angekuwa baba C au D awe mwaminifu 100%?...:nono::nono:

Hujambo dada mnoko?

Mimi ni Baba C. Nina miaka kumi na uaminifu wangu kwa mama C ni 25%

Hiyo 75% iliyobaki ukitaka nikufafanulie, niPM.
 
Na wewe wa siku mingi naomba nikuulize wewe kumswali la kikongomani:

Hivi Mume wa Anna Abdallah ni Abdallah mwenyewe au Pius Msekwa? Mi iko confused bana!
3- INFIDELATORS/INFIDELEETES wanatakiwa kushea-KIZURI KULA NA NDUGUYO!(hii sheria ni muhimu sana).ukimpata infideletee anaejituma sana gesti muhabarishe na mwenzio akamfaidi.SHARING IS CARING-KUGAWANA NI KUJALI
 
SIMWAMINI
lakin haina maana hakuna watu waaminifu
nimeona watu kiukweli waaaminfu dada nyamayao
bt mmh mmh sijui bwana manake sjamalizia kukua vzur so siwez sema neno kuu apa ....
MI NACHANGAMSHA JAMV TU APA ..nt serious kivile cz sjawai kuexperience mandoa sjui manini ayo ya kuwa commmited kabsa kabsa..bado namalizia kukua..
DA NYAMAYAO UR CORRECT BWANA...(uwaga nakupenda +nakueshimu sana cz mara nying napataga kitchen pat ya bure apa tokakwako ..n i lik yr style...unapenda ukweli nthng else...unafiki kwako mwiko na kuremba kinyago hauwez,.. ilike t)

thnx Rose....sasa hao watu waaminifu uliwaonea wapi, kwamba anatoka na mkewe asubuhi anam drop ofcn,mchana anampitia anampeleka lunch, jioni anakuja kumchukua kamshika kiuno? uliwaonea wapi hao waaminifu? hata mie nikikaa na wewe/mr miaka hutamsoma, utabakia kusema ni mwaminifu lakini Nyamayao atakuambia sio mwaminifu coz alishanitenda nikatendeka, uamninfu hauonekani kwa sura....kuna watu wanacheza rafu mpaka wa nje tunatamani kupiga mayowe lakini mkewe anamwona ndio malaika mlinzi kashushwa.....wacha kabisa hili game Rose wangu.....anyway coz umesema bado bado bac kuwa uyaone, ucmwamini mtu 100% hata cku moja, utakufa na kizunguzungu.
 
hebu liangalie bandiko hili la kijana ambae nadhani yuko hanemuni au katoka jumapili iliyopita ilhali na yeye anajiita mwanandoa

Orait....! Sasa kwanini mnamshambulia badala ya kumshauri?

Rekodi na Findings zisizo za kijono alizonazo babu yenu ni kuwa:

Mwanamme akiwa mwaminifu kwa 100% kwa mkewe basi kuna uhakika wa asilimia 100 kuwa mkewe anamegwa vibaya na Wakware;

Hii ni kwa sababu sheria mama ya mahusiano ya ndoa zinazodumu inafafanua wazi kuwa: Ili ndoa idumu ni lazima mmojawapo wa wenye ndoa a-cheat. Sasa kama huyo kijana ni mwaminifu kwa 100%, ajue mwenzie huko vijana wanajisevia.

Hilo Ndilo NENO LA BABU.....
 
Hujambo dada mnoko?

Mimi ni Baba C. Nina miaka kumi na uaminifu wangu kwa mama C ni 25%

Hiyo 75% iliyobaki ukitaka nikufafanulie, niPM.

cjambo kaka, watu wana pretend wanaishi maisha ya heaven, watakuja kushtuka wakajua wapo duniani hapa hapa bac kwao ni too late sana.
 
Orait....! Sasa kwanini mnamshambulia badala ya kumshauri?

Rekodi na Findings zisizo za kijono alizonazo babu yenu ni kuwa:

Mwanamme akiwa mwaminifu kwa 100% kwa mkewe basi kuna uhakika wa asilimia 100 kuwa mkewe anamegwa vibaya na Wakware;

Hii ni kwa sababu sheria mama ya mahusiano ya ndoa zinazodumu inafafanua wazi kuwa: Ili ndoa idumu ni lazima mmojawapo wa wenye ndoa a-cheat. Sasa kama huyo kijana ni mwaminifu kwa 100%, ajue mwenzie huko vijana wanajisevia.

Hilo Ndilo NENO LA BABU.....

ucje ukampa mtoa mada pressure bure....lol
 
Wazoefu wa ndoa lazima tuwape maadili hawa vijana wanaotoka hanemuni na suti za mchina. si wengine tulioa tukiwa tumetinga kaunda suti na raba mtoni...LOLZ
 
ukweli ni kwamba kama wewe ni mwaminifu kwa partner wako 100% bac uczungumzie juu ya mwenzio coz huwezi kujua kama yeye ni mwaminifu kwako kwa kiwango hicho hicho.......
 
Kuna watu humu wanajiita wazoefu wa ndoa sasa sijui wao kwenye hizo ndoa wako miaka mingapi hapa nikimtoa babu yangu asprin
 
Orait....! Sasa kwanini mnamshambulia badala ya kumshauri?

Rekodi na Findings zisizo za kijono alizonazo babu yenu ni kuwa:

Mwanamme akiwa mwaminifu kwa 100% kwa mkewe basi kuna uhakika wa asilimia 100 kuwa mkewe anamegwa vibaya na Wakware;

Hii ni kwa sababu sheria mama ya mahusiano ya ndoa zinazodumu inafafanua wazi kuwa: Ili ndoa idumu ni lazima mmojawapo wa wenye ndoa a-cheat. Sasa kama huyo kijana ni mwaminifu kwa 100%, ajue mwenzie huko vijana wanajisevia.

Hilo Ndilo NENO LA BABU.....
ha ha ha ha!
 
Kuna watu humu wanajiita wazoefu wa ndoa sasa sijui wao kwenye hizo ndoa wako miaka mingapi hapa nikimtoa babu yangu asprin
ha ha ha!
wacha maneno yako wewe!

wewe una uzoefu wa vitabuni
 
Wazoefu wa ndoa lazima tuwape maadili hawa vijana wanaotoka hanemuni na suti za mchina. si wengine tulioa tukiwa tumetinga kaunda suti na raba mtoni...LOLZ

haaahaaa...haki ya nani kaka ckupendi! jamani umenichekesha sana mpaka machozi..hahaha watu tumefunga ndoa vjjn tumevaa krimplin na sendeu tunatembea kwa miguu kutoka home mpaka church tukirudi home mbege mfululizo, maua ni migomba, ijekuwa hawa cku hizi cjui matarumbeta, cjui gari kama za kuwindia wanyama(wamekaa juu juu)cjui gari 15 za maandamano, kweli lazima wachukulie ndoa ki vile...kaka umenipa raha sana tena sana.
 
ha ha ha!
wacha maneno yako wewe!

wewe una uzoefu wa vitabuni

The Following User Says Thank You to Baba Gift For This Useful Post:

The Finest (Today)

The Following User Says Thank You to Baba Gift For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
Wazoefu wa ndoa lazima tuwape maadili hawa vijana wanaotoka hanemuni na suti za mchina. si wengine tulioa tukiwa tumetinga kaunda suti na raba mtoni...LOLZ

Babu nina nia ya kuja kumchukua mjukuu wako hautakaa nae daima
 
Kuna watu humu wanajiita wazoefu wa ndoa sasa sijui wao kwenye hizo ndoa wako miaka mingapi hapa nikimtoa babu yangu asprin

Na wewe ukimuendekeza mama Big utaishia kuwa bachela wa kudumu. Mama Big tuachie sisi kina babu ndio saizi yetu.....:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Kuna watu humu wanajiita wazoefu wa ndoa sasa sijui wao kwenye hizo ndoa wako miaka mingapi hapa nikimtoa babu yangu asprin

haaa hebu ingie tukupe hiyo miwili tu kama utaiweza, watu tumekomazwa na ndoa ati.
 
Back
Top Bottom