Hivi unadhani Kwanini kuna DNA test! Ni upumbavu kuishi na mtoto bila kumpima, hata awe anafanana naweBwashee mnatombewa mno , hii ndio point kubwa humu ndani
Na ni upumbavu kupima dna bongoHivi unadhani Kwanini kuna DNA test! Ni upumbavu kuishi na mtoto bila kumpima, hata awe anafanana nawe
Kitu hujui acha! Nimepima mara nyingi kWa Mkemia mkuu na nyingine positive na nyingine negative. Acheni kuzushaNa ni upumbavu kupima dna bongo
Kama Vile Mbuzi Machungoni Atembee AtakavyoUkitaka kujua uaminifu wa mtu, usimchunge. Mpe uhuru wote kisha utazame anachochagua kufanya.
Ni swala la mda tu!Kwanini Mungu anaruhusu haya yatokee kwenye ndoa? Yeye si mwenye uwezo wote? Kwanini asiyazuie?
Kwanini anaruhusu ndoa itiwe najisi?
NakaziaNi swala la mda tu!
Kizuri Gharama na kuku huchokora anachoweza kumeza. Kama uwezo haupo, Kubali matokeo.Wangapi Wana huo uwezo wa kwenda Kwa mkemia mkuu?
Ni Tsh ngapi ina gharimu mtoto mmoja? Nipe muungozo mpaka kufanikisha hilo jambo.Kitu hujui acha! Nimepima mara nyingi kWa Mkemia mkuu na nyingine positive na nyingine negative. Acheni kuzusha
Laki tatuNi Tsh ngapi ina gharimu mtoto mmoja? Nipe muungozo mpaka kufanikisha hilo jambo.
Mnasaidiwa kupata watoto, badala mshukuru, mnalalamika🙆♂️🙆♂️Bwashee mnatombewa mno , hii ndio point kubwa humu ndani