danceforme
JF-Expert Member
- Aug 3, 2026
- 593
- 1,398
Mechi za Away
Kwenye masuala ya ujauzito kama mke na mume hawapati jamii nzima inamnyooshea vidole mwanamke, lakini ukweli ni kwamba wanaume wengi ndio wenye matatizo, wake zenu wana wastiri shida iko wapi???View attachment 3656206View attachment 3656210
Mimi mpaka hapa nimechanganyikiwa, yaani Akili yangu Iko "ovez"
Dr. Mariposa
Wanaume tuna ushamba mwingi.Mimi stara ya hivyo hapana asanteni
Uko sahihi mkuuWanaume tuna ushamba mwingi.
Pima afya ya uzazi hata kama hujaoa ili ujue hali yako halisi usije ukapigwa.
Na tunavyodanganyana kwenye stori za mitaani eti nguvu za kiume ni kusimamisha tu. Unaweza kusimamisha ila ukakosa sperm count.