Uaminifu katika Mahusiano. Wewe kama mwanandoa una maoni Gani hapa?

Mimi stara ya hivyo hapana asanteni
Wanaume tuna ushamba mwingi.

Pima afya ya uzazi hata kama hujaoa ili ujue hali yako halisi usije ukapigwa.

Na tunavyodanganyana kwenye stori za mitaani eti nguvu za kiume ni kusimamisha tu. Unaweza kusimamisha ila ukakosa sperm count.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…