Beyond Thinking
Member
- Dec 4, 2010
- 18
- 0
Kumekuwa na tatizo la wanando kutokuwa waaminifu katika ndoa zao, kimsingi jambo hili sijalifanyia utafiti ila naamini huju JF wapo wengi ambao watakuwa wanamaelezo ya kutosha kueleza sababu ya kadhia hii, naomba tusaidiane, kwa nini uaminifu katika mahusiano ya mke na mume ni issue?, utakuwa ktu ana mke/mume wake lakini anakosa uaminifu na hatimae anatafuta mwanamke/mme nje ya ndoa!, tatizo ni nini hasa?