Uaminifu ni jambo gumu sana

Uaminifu ni jambo gumu sana

The mission 2017

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
1,748
Reaction score
3,229
Natumai mko poa, mnaendelea vyema kabisa na mihangauko ya kujenga viwanda kuunga mkono hoja ya mweshimiwa magu.

Sasa iko hivi, juzi Kati nilipita tawi moja la equity bank Nika fungua account, nikaweka 15k wakakata yao 10k Kama service charge ya kufungua account.Wakanikabidhi card yangu nikajiondojea

Sasa 2 weeks later, nikapata sms 400k imeingizwa kwenye account yangu, ah sikujali Sana maana nilikua bize na moduli za chuo, KWAHIYO nikawa nimepotezea. 1 month later, nikawa nimeishiwa salio mida ya usiku maduka yote yamefungwa na nina shida kuongea na simu, ndio nikakumbuka kisa Cha equity bank, ikabidi nijaribu kuvuta 10k Kama itatoka, kweli nikafanikiwa na ikabaki laki tatu na,

Sasa Apo ndio akili inaanza kuload hii pesa imekosewa ama Kuna mtu kanitumia, bt account ni mpya sijawahi mpa mtu yeyote, basi ikabidi nivute yote nikaiweka kwenye lain ya voda nikaanza kusikiliza, one month now ndio Kuna mtu wa equity bank ndio ananipigia sijui nikasain documents gani pale ah, sema ngoja ntaenda kuwasikiliza niskie wanasemaje maana mm ni mwaminifu...[emoji23][emoji23]
 
Usichukue kisicho chako mkuu, mwisho wake huwa sio mzuri, kama wewe ulivyosema kuwa ni mwaminifu basi fanya hivyo!
 
Sio rahisi kwa bank kufanya kosa hilo, Kua makini.
 
hakuna sheria hiyo,
Sheria sio kama unavyoelewa wewe zina tafsiri nyingi.Ukitumia mali ya watu bila ruhusa ni sawa na wizi,ni sawa na kuokota kitu cha mtu,inabidi umtafute mwenye nacho au ukikabidhi mahala husika sio vinginevyo.
 
Back
Top Bottom