Siku za ajabu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 1,369
- 986
Ndugu zangu niwape jambo hili ambalo limenitokea mimi mwenyewe siku kama mbili zimepita, nilikuwa napeleka mzigo kwa mteja sasa kufika kwake nikamkabidhi halafu akanipatia pesa nikaondoka nikiwa bado maeneo yaleyale nikaangalia simu yangu nikagundua mteja alishalipia ule mzigo nadhani alisahau akailipia tena.
Sasa kweli tunahitaji pesa na ningeweza kuondoka na pesa wala hamna kesi yoyote lkn nikasema ngoja niwe mwaminifu nikarudi tena nikamgongea akatoka akaniuliza kama pesa haitoshi nikamwambia hapana ila ulishalipia huu mzigo nikamrudishia pesa yake. Aisee alishukuru na kuniambia ni vzuri sana na asante kwa uaminifu akanipa na pesa nyingine ya kunishukuru nikaondoka zangu.
Sasa baada ya hapo zikapita kama siku mbili nikawa maeneo fulani muda wa usiku wa saa tatu nikaona tairi halina upepo nikasogea sheli nikagundua nina pancha kubwa na tayari usiku na sina spea tairi ya kubadilisha nikaomba pale sheli niache usafiri wangu kesho nirudi kutengeneza wakakubali halafu nikasogea barabarani nitafute taxi ili nirudi nyumbani.
Ktk kitu ambacho dunia ya sasa inaenda kukipoteza ni uaminifu, yani wale ambao zamani walikuwa wanaaminika sasa hv wengi si wa kweli wasomi wengi ni waongo sana yani. Pesa ikikaa mbele basi yuko radhi aongee na kutetea uongo wkt anajua kbisa anacho kiongea si kweli kbsa ila dolas zimewekwa mbele anaifunika elimu yake yote hii ni hatar sana na mwenyezi Mungu atusaidie sana.
Biblia inasema uwe mwaminifu hata kufa kipindi kinakuja kusema ukweli ni kama kujitafutia kifo lkn Mungu yupo atatusaidia basi bwana wkt nasubir usafiri gari moja ikanipita halafu gafla ikasimama ikarudi nyuma mpak nilipo mikaogopa kdogo maana ni usiku na nipo peke yangu.
Akatokea mzungu mmoja akaniuliza kwanini niko pale nikamsimulia yaliyonikuta akaniambia twende nikupeleke daah nikashukuru huku naogopa kidogo tukafika sehem nikamwambia hapa nimefika nikamshukuru akasema usinishukuru mimi ila mwenyezi Mungu maana sina kawaida ya kusimama, kwanza ni hatar ila wkt nakupita nimesikia sauti ikisema nirudi kukubeba sio kawaida yangu ila kama unampenda Yesu basi umpende sana maana sina kbsa kawaida ya kusimama sikujui wala hunijui.
Akaniuliza kama nina nauli ya kutosha nikamwambia ninayo jamani uaminifu unalipa nikiunganisha matukio hayo naona kweli Mungu yupo na anaona kila jambo tufanyalo liwe jema au baya jamani tuwe waaminifu na wakeli Bwana Yesu anatuona. Barikiwa na Bwana.