The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
bado am still meandering around the bush. Tell me![/QUOTE
emotional cheating ni pale
una
mtu wa jinsia nyingine ambae una share nae
kila kitu kasoro sex
una share nae kuliko mpenzi wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado am still meandering around the bush. Tell me![/QUOTE
emotional cheating ni pale
una
mtu wa jinsia nyingine ambae una share nae
kila kitu kasoro sex
una share nae kuliko mpenzi wako
bado am still meandering around the bush. Tell me![/QUOTE
emotional cheating ni pale
una
mtu wa jinsia nyingine ambae una share nae
kila kitu kasoro sex
una share nae kuliko mpenzi wako
aisee boss leo umetumika kunitoa ujinga. duh! barikiwa.
sasa niambie ninakuwa na mdada rafiki yangu let say boss halafu na share nae maisha kuliko mume kasoro sex? Duh! kweli ya Mungu hii mimi siiwez. Lakini haimaanish kuwa sina marafiki wa kiume ambao tuko close hapana ila hatushei nao kila kitu kuliko mume.
Nyani Ngabu ana point kubwa sana,hapa hakuna atakaekuja na kusema yeye sio mwaminifu.Halafu kwanza sijui kama kuna mwaminifu kwa maana ya uaminifu.Ngoja nipitie posta hapa!
Narudia tena you always have brain Eiyer, hilo ndilo tatizo kubwas ana kwa sisi binadamu and nilitaka kulisema mwanzoni nikajua nitafunga mjadala ila hapa ulipolisemea ndio mjadala unanoga. Hivi wadhani kweli mtu apaswa kuheesabia gharama kwa kitu chenye faida kwake? manake lets say gfsonwin kuwa muaminifu hamfanyi Gy kutokuwa muaminifu kwani hii ni personal trait. lakini sasa kuna tatizo la kuvujana moyo je tuliunderestimate? halafu pia eiyer uaminifu umekaa moyoni zaid unapokuja kuwa kinyume hadi ukaonekana nje basi hapo hubadilika jina na kuwa dhambi ambayo itaitwa kwa cheo chake..........sijui kama hapa utakuwa umenielewa. mfano mm ni mwaminifu siku nikiacha kuwa mwamnifu na kutembea nje ya ndoa yangu basi uaminifu hapa hubadilika jina na uwa dhambi yenye cheo cha uzinzi sasa iko wpi mipaka ya uamnifu?Kuna tatizo nimeliona hapa.Tatizo lenyewe ni sababu ya mtu kuwa mwaminifu.Unapofanya jambo lolote kwa sababu fulani halafu sababu yenyewe ikaja kukosa mashiko,mtu anajiona kama amejinyea.Mfano,mtu anakua mwaminifu kwa sababu yuko kwenye ndoa,akitarajia na mwanandoa mwenzie nae anafanya hivyo hivyo.Huyu sababu ya kuwa mwaminifu ni kwa sababu ya mwanandoa mwenzie,sasa basi akija kugundua mwenzake anafanya kinyume nae anatamani afe,kisa ni kuwa kilichomfanya awe mwaminifu kimemletea majibu tofauti.Uaminifu unakosa maana!
kama nikiweza funza wanangu, sitakaa niwafunze uaminifu kwa dunia hii ya leo.
Ni mistake ya kufa mtu, ni kujipasua moyo bure, ni ukichaa tu wa mapenzi tu.
Bora waishi maisha real ya kuchitiana.
This is what I call too much truth.
gfsonwin mbona unataka kuchakachua kile ninachoamini miaka nenda rudi? nijuavyo mimi uaminifu wa mtu hauko moyoni, bali uko kwenye matendo yake. Isitoshe si kila nitendalo kwamba linatoka moyoni