TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,095 Aug 28, 2012 #1 Dada angu kaolewa znz ameambiwa na shemeji kuwa akikubali kuhesabiwa sensa basi ndo talaka yake arudi bara. Wana jamvi nifanyaje hapo kuokoa ndoa ya dada wangu?
Dada angu kaolewa znz ameambiwa na shemeji kuwa akikubali kuhesabiwa sensa basi ndo talaka yake arudi bara. Wana jamvi nifanyaje hapo kuokoa ndoa ya dada wangu?
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,095 Aug 28, 2012 Thread starter #2 Huyu shemeji ni mwana uamsho
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Aug 28, 2012 #3 ujue shemejio hakumpenda dada yako anamtafutia sababu tu