Uamuzi huu wa ghafla wa Tundu Lissu kisiasa, maana yake ni ama awe mwenyekiti wa CHADEMA taifa ama aangalie utaratibu na uelekeo mwingine

ACT Wazalendoooo, shusha tanga-pandisha tanga, hoja yake atasema "mimi kama zitto, Mbowe katufukuza sasa tumejiunga"
 
Lissu aondoke kama Msigwa tuu hakuna shida amekuwa nje ya Chama na nchi muda mrefu na Chama hakijaathirika chochote.
 
Mbowe kama zile hadithi za zamani za Alfu Lela Ulela za mtu aliye litoa jini kwenye chupa ikawa kazi kulirudisha.
 
Jibu ni hilo la pili. Ni suala la muda tu, Taasisi kunmbwa hugombei cheo cha juu kabisa bila kushirikiana na aliyenacho na kuweka mikakati ya pamoja.

Mbowe kuiacha CDM bila maridhiano na Lissu ndiyo mwisho wa chama.
We unejuaje Kama press ya Leo haina baraka za Mbowe?

Mbowe ni mmeo?
 
Bila mwamba DJ Mbowe saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !!
 
Lissu anatafuta Sababu ya kuhamia CCM
Acha uongo
Huku mnahubiri demokrasi demokrasiiii wakati Lissu kuongea kidogo mnatukana kama amekosa kujitangaza.
Lissu songa matusi ni kawaida
Mbowe umri wa kustaafu ndio huu!
 
Wote wanaotaka kugombea CHADEMA nafasi ya mwenyekiti taifa kabla hawajafanya maamuzi ya kuchukua Fomu wanatakiwa wamtafute Nabii wa Ishara Tanzania kuwasaidia kupangusa ukungu kwenye glass ili waone nyota iko kwa nani na atashinda na yupi atakosa au kupata shida.
1. Freeman Aikael Mbowe......FAM......6113....224....8 -Mamlaka, misukosuko, mapambano
2. Tundu Antipas Lissu.......TAL.....20112....624.......3 - ubunifu, kujieleza, usawa, maelewano na wingi
3. Godbless Jonathan Lema.....GJL....71012....224...8 -Mamlaka, misukosuko, mapambano
4. John Wegesa Heche.....JWH......10238.....524...2 -Kuhimiza kujiamini nguvu, uwezo, uaminifu, na wingi.
5. John John Mnyika.....JJM...101013....624....3 ubunifu, kujieleza, usawa, maelewano na wingi
6. Joseph Mbilinyi Sugu.....JMS.....101319....524....2 Kuhimiza kujiamini nguvu, uwezo, uaminifu, na wingi.
 
Kwani we unaonaje? Nafasi ya Mwenyekiti ni kwaajili ya Mbowe tu?
 
πŸ’―βœ”οΈ
 
Maccm mtamaliza theories zote kuhusu Lissu mnamuogopa sana na imekula kwenu ndiye Mwenyekiti ajaye huyo.
 
Msikilize prof janabi kuhusu lisu utapata majawabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…