Uamuzi kesi ya Said Issa dhidi ya bodi ya Wadhamini wa CHADEMA

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
22,269
Reaction score
58,563
Leo, tarehe 8 Oktoba 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu Maombi ya Zuio katika Maombi Madogo Na. 14864 ya mwaka 2026.

Maombi hayo yanahusu shauri la Said Issa Mohamed & Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Registered Trustees of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) & Secretary General of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Uamuzi huo ulitarajiwa kutolewa saa 8:30 mchana katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.
 
Mpaka kufikia saa 8:30 Mchana

Mahakama kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam imeahirishq kutoa uamuzi ya zuio

Pokeeni taarifa kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam kwamba, Mahakama imeahirisha kutoa Uamuzi juu ya Maombi ya zuio katika Maombi Madogo Namba 14864 ya 2026 baina ya Said Issa Mohamed & Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Registered Trustees of Chama cha Demokrasia na Maendeleo & Secretary General of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)hadi tarehe 22/10/2026 saa 8 Mchana.

Sababu za ahirisho hilo ni kutokana na Mhe Jaji aliyetarajiwa kutoa uamuzi huo kuwa na majukumu mengine nje ya kituo cha kazi.

Tunawashukuru wanachama kwa utayari wao wa kufika Mahakamani, kwa taarifa hii, Tunaomba sasa tukutane Mahakamani tarehe 22/10/2026 saa nane mchana.

KAMATI YA UENEZI
KANDA YA PWANI
 
Ok.
kwahiyo confused political party and a confuser party members are confusing each other in court right?🐒
 
Sema vijana wa Chadema wamekua wapumbavu hao sijui ni bavicha wanashindwa kujikusanya hata mia wakaenda kwa huyo mpumbavu anaetumwa na Mbowe akapigwa mkwara
 
Leo, tarehe 8 Oktoba 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu Maombi ya Zuio katika Maombi Madogo Na. 14864 ya mwaka 2026.

Maombi hayo yanahusu shauri la Said Issa Mohamed & Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Registered Trustees of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) & Secretary General of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Uamuzi huo ulitarajiwa kutolewa saa 8:30 mchana katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.
Kuna wapuuzi kibao wanasema mbona safu ya viongozi wengi wa cdm hakuna waisilamu wengi, kama vile kigezo cha uongozi ndani ya cdm ni dini ya kiongozi. Haya waisilamu hao hapo wao wanataka cdm izuiwe kufanya siasa!
 
Mpaka kufikia saa 8:30 Mchana

Mahakama kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam imeahirishq kutoa uamuzi ya zuio

Pokeeni taarifa kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam kwamba, Mahakama imeahirisha kutoa Uamuzi juu ya Maombi ya zuio katika Maombi Madogo Namba 14864 ya 2026 baina ya Said Issa Mohamed & Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Registered Trustees of Chama cha Demokrasia na Maendeleo & Secretary General of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)hadi tarehe 22/10/2026 saa 8 Mchana.

Sababu za ahirisho hilo ni kutokana na Mhe Jaji aliyetarajiwa kutoa uamuzi huo kuwa na majukumu mengine nje ya kituo cha kazi.

Tunawashukuru wanachama kwa utayari wao wa kufika Mahakamani, kwa taarifa hii, Tunaomba sasa tukutane Mahakamani tarehe 22/10/2026 saa nane mchana.

KAMATI YA UENEZI
KANDA YA PWANI

Waongo hao. Wanamchezo wanaupanga ili uendane na malengo yao ya MO29 na 6 November.
 
Waonho hao. Wanamchezo wanaupanga ili uendane na malengo yao ya MO29 na 6 November.
 
Mpaka kufikia saa 8:30 Mchana

Mahakama kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam imeahirishq kutoa uamuzi ya zuio

Pokeeni taarifa kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam kwamba, Mahakama imeahirisha kutoa Uamuzi juu ya Maombi ya zuio katika Maombi Madogo Namba 14864 ya 2026 baina ya Said Issa Mohamed & Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Registered Trustees of Chama cha Demokrasia na Maendeleo & Secretary General of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)hadi tarehe 22/10/2026 saa 8 Mchana.

Sababu za ahirisho hilo ni kutokana na Mhe Jaji aliyetarajiwa kutoa uamuzi huo kuwa na majukumu mengine nje ya kituo cha kazi.

Tunawashukuru wanachama kwa utayari wao wa kufika Mahakamani, kwa taarifa hii, Tunaomba sasa tukutane Mahakamani tarehe 22/10/2026 saa nane mchana.

KAMATI YA UENEZI
KANDA YA PWANI
Kangaroo courts zina mambo. Hilo ombi ni baseless. Judge anayejitambua angekuwa ameshalitupilia mbali kitambo sana!
 
Leo, tarehe 8 Oktoba 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu Maombi ya Zuio katika Maombi Madogo Na. 14864 ya mwaka 2026.

Maombi hayo yanahusu shauri la Said Issa Mohamed & Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Registered Trustees of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) & Secretary General of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Uamuzi huo ulitarajiwa kutolewa saa 8:30 mchana katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.

Kiini cha Said Issa Mohamed na wenzie dhidi ya bodi ya wadhamini wa chama cha CHADEMA

TOKA MAKTABA :

Said Issa Mohammed and Another vs Registered Trustees of Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) and Another (Miscellaneous Civil Application No. 14864 of 2026) [2026] TZHC 5038 (27 August 2026)​

27 August 2026 High Court of Tanzania
Preliminary objections raising disputed facts and constitutional interference were dismissed; the injunction application proceeds to full hearing.
  • Civil procedure — Preliminary objections — Factual issues not competent as preliminary objections — Contested factual issues and pending national proceedings are not proper preliminary points of law
  • Constitutional law — Temporary injunction — Whether an injunction restricting participation in political activities is permissible
  • Trust law — Trustees' Incorporation Act (Cap.318) — Whether a trustee may sue the registered trustees (capacity to sue)

Page 1: [...] DAR ES SALAAM SUB-REGISTRY AT DAR ES SALAAM MISCELLANEOUS CIVIL APPLICATION NO. 14864 ... OF 2026 (Arising from Civil Case No. 13832 of 2026) SAID ISSA MOHAMMED..

The Board of Trustees. It does not oust the court’s power to question the manner in which the property is being managed. From the pleadings, the applicants’ grievances are on the alleged unequal managementand utilisation of the Party’s assetsl. As such, whether the injunction sought would improperly interfere with the statutory mandate under Section
41(1) is a matter to be considered in the determination of the application.
Thus, the 5th objection lacks merit, and it is hereby overruled.
In view of the above, it is my considered view that, at this stage, the raised objections fall short of merit. In consequences thereof, I overrule the objections for want of merit. The application shall therefore proceed
to the hearing on its merits. Each party should bear its costs.
It is so ordered.
Dated at Dar es Salaam on this 27th day of August 2026.
A.A. Mbagwa
JUDGE

Source : Search – TanzLII
 
Sema vijana wa Chadema wamekua wapumbavu hao sijui ni bavicha wanashindwa kujikusanya hata mia wakaenda kwa huyo mpumbavu anaetumwa na Mbowe akapigwa mkwara
Shida wakifanya hivyo wataumizwa na kuuawa. Bora kukaa kimya na kusubiri mahakama itoe maamuzi.
 
Back
Top Bottom