Uamuzi mgogoro wa Feitoto na Yanga, vilio vyatawala msimbazi

utopolo og

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
575
Reaction score
1,575
Bada ya kamati ya sheria na hadhi ya wachezaji ya TFF kutegua kitendawili cha kimkataba kati ya klabu ya Yanga na mchezaji Feisal Salum, unaambiwa mashabiki mbalimbali wa Simba wamelaumu sana uamuzi huo huku wakienda mbali zaidi kuapa wataenda FIFA kudai haki Yao.
Baadhi yao wameonekana wakilia nakutoa machozi huku wakitamka waziwazi kuwa watamsomea albadiri yeyote aliyewahujumu kwenye hili suala..

Kumekucha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
FEISAL hana uhusiano na Simba ila AZAM.
Siku hizi waigizaji ni wengi sana.
Kwahiyo, uliowaona wakilia huenda ni mashabiki wa YANGA wanaotaka kutengeneza TENSION.
 
FEISAL hana uhusiano na Simba ila AZAM.
Siku hizi waigizaji ni wengi sana.
Kwahiyo, uliowaona wakilia huenda ni mashabiki wa YANGA wanaotaka kutengeneza TENSION.
Mkuu ni mashabiki wa Simba na jezi zao video naipandisha mda sio mrefu
 
Nazidi kuamini kua wenye akiri ni wa wili tu
Afadhali huku wenye akili wapo wawili, napo ni kwa mujibu wa taahira mmoja maarufu anayeitwa Haji Manara, Kule upande wa pili wote ni mbumbumbu kwa mujibu wa kiongozi wao mkuu mstaafu ndugu Aden Rage.

Unaweza kuiona tofauti kubwa iliyopo kati yao Hawa ndugu wawili
 
Naendelea kuamini Rage alikuwa sahihi kabisa
Kwa vile Simba wameshinywa, basi ntaushauri uongozi wa Yanga umjengee sanamu kama kuuenzi mchango wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…