utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Bada ya kamati ya sheria na hadhi ya wachezaji ya TFF kutegua kitendawili cha kimkataba kati ya klabu ya Yanga na mchezaji Feisal Salum, unaambiwa mashabiki mbalimbali wa Simba wamelaumu sana uamuzi huo huku wakienda mbali zaidi kuapa wataenda FIFA kudai haki Yao.
Baadhi yao wameonekana wakilia nakutoa machozi huku wakitamka waziwazi kuwa watamsomea albadiri yeyote aliyewahujumu kwenye hili suala..
Kumekucha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baadhi yao wameonekana wakilia nakutoa machozi huku wakitamka waziwazi kuwa watamsomea albadiri yeyote aliyewahujumu kwenye hili suala..
Kumekucha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]