Uamuzi mgogoro wa Feitoto na Yanga, vilio vyatawala msimbazi

na kwa jeuri tu anakuja ozea benchi
 
Nayeye Rageee akiwemo!
 
Akili sio akiri..........anachoongea huyo ni kweli kwasababu kuna mshkaji wangu mmoja ni shabiki wa simba kapoteza furaha sana baada ya hiyo taarifa kafunga genge lake mapema
Kwani kuna aliyebisha kwamba fei sio mali ya yanga? Utopolo kweli hamnazo. Shitaka la msingi ni fei toto kutofata taratibu za kuvunja mkataba kati yake na utopolo. Hivo yanga wanataka fei afate utaratibu. Na hiyo jumatatu ndio tff wataangalia ni vipengere vp vinaweza kumruhusu fei avunje mkataba. Mbonna hoja simpo sana hiyo?
 
Kwani ni wapi nimesema feitoto sio mali ya yanga ewe Huntha?
 
We ni Juha sana. Unawakilisha maana halisi ya kauli ya Aden Rage
 
Make hapo kwanza ncheke πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Make hapo kwanza ncheke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hao Simba walimlipia na kambi huko Dubai, mpango wao waliupitishia Azam, wameanguka ni vilio tupu[emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…