Uamuzi sahihi ni kuchukua vitu vyako uwaachie chumba ukapange kwengine?

Uamuzi sahihi ni kuchukua vitu vyako uwaachie chumba ukapange kwengine?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Umetulia zako ulikopanga, rafiki yako wa kijijini kuna siku anakucheki "mkuu naombaa nije kutulia kwako kama wiki moja kuna mchongo nasubiria."

Kwa heshima na support unamwambia "haina noma"

Kapiga mishe zake karibia mwezi lakini mambo hayakai sawa, unakuwa muelewa hakuna njia iliyonyooka kwenye utafutaji.

Unapata safari ya kwenda mkoani kikazi kama wiki 2 narudi nakuta jamaa kaleta mke wake kutoka mkoani

Unadhani labda ni dharula anaondoka lakini siku 3 zinakataika, bado wapo.

Unamuuliza jamaa vp tena, anasema amemwambia mke wake aje kuongeza nguvu wafosi wote life la town

Unamcheki jamaa yupo kama alivyokuja, kahaso zaidi ya mwezi lakini mambo hayakaa sawa.
 
hq720.jpg
 
Japo kuwa ni hadithi ya kutunga lakini ikitokea mtu wa Hivyo mwambie ukweli kuwa wewe kapange kwako sijajenga nyumba Kwa ajili ya wajinga kama wewe.hakuna kupepesha macho
 
Back
Top Bottom