Yess kwangu kuna nafas ya kuishi watu zaidi ya wa 3, ila niko pekee angu, ko hata akija mgeni na mwenzie haina shida.Kwako kuna nafasi?
πππππ kwa kweli.Lazima uishiwe na pawa kabisa aisee
Afadhali, ngoja nije kutembelea daslamYess kwangu kuna nafas ya kuishi watu zaidi ya wa 3, ila niko pekee angu, ko hata akija mgeni na mwenzie haina shida.
πππππ siko Dsm, GVT imenitupaa maporinii hukoo.Afadhali, ngoja nije kutembelea daslam
Usikute uko nanjilinji kwanguππππππ siko Dsm, GVT imenitupaa maporinii hukoo.
Kuna watu mishipa ya aibu ilikata kabisa ππππππππ kwa kweli.