Uamuzi wa kujua mbivu au mbichi ni Septemba 1, jaji mkuu atoa muongozo

Uamuzi wa kujua mbivu au mbichi ni Septemba 1, jaji mkuu atoa muongozo

Hamna haja ya kurudia uchaguzi,mwananchi ndio anabebeshwa mzigo mzito,hizo pesa za kurudia uchaguzi,bora zipelekwe mashinani zikafanye maendeleo
 
Sisi majirani macho yetu yote ni kuona kama wa-Kenya wataheshimu maamuzi ya Supreme Court na kusonga mbele na maisha. Pia katika zoezi zima la kusikiliza malamiko pia tumejifunza mapungufu na mazuri ya IEBC ktk kuandaka uchaguzi ulio huru na haki, na mafunzo hayo kutumika Kenya na nchi zingine za Afrika jinsi ya kufanya uchaguzi bora siku za usoni.
Kwa vyovyote vile bila kujali maamuzi ya mahakama yatakuwaje kuna vitu vingi sana kenya wamefanya vizuri kushinda nchi nyingi za Africa. Kubwa miongoni ni hili la kuruhusu matokeo kuhojiwa mahakamani, tena mahakama ya wazi. Mpo mbali kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom