Sisi majirani macho yetu yote ni kuona kama wa-Kenya wataheshimu maamuzi ya Supreme Court na kusonga mbele na maisha. Pia katika zoezi zima la kusikiliza malamiko pia tumejifunza mapungufu na mazuri ya IEBC ktk kuandaka uchaguzi ulio huru na haki, na mafunzo hayo kutumika Kenya na nchi zingine za Afrika jinsi ya kufanya uchaguzi bora siku za usoni.