Uko sahihi, hata kitni chenyewe kina muelekeo wa pale soko kuu.
Naona hizi lawama, kelele na malalamiko kuhusu upendeleo kwa Simba umewakera sana Simba...Wanasimba wengi wanajitokeza kutetea malalamiko yanayojitokeza...Simba fans and leaders are on defensive....Huyo Othman Kazi naye ni Simba kwani inafahamika hivyo...wengi pia wanafahamu matatizo yaliyokuwa yakimpata huyo Ndugu wakati alipokuwa refa...Binafsi siamini kuwa huyo Ndugu ni mtu sahihi kweli kuchambua masuala hayo 'kipyenga cha mwisho'...kwa hakika uchambuzi hautendewi haki kabisa....