Uamuzi wa kumsimamisha Abdallah Kambuzi ulifanywa kimihemko kwa maslahi ya nani?!!!!

Uko sahihi, hata kitni chenyewe kina muelekeo wa pale soko kuu.
 
Mbwa koko we zile penati mbili alizowanyima KMC mbona huzizungumzii? Kwa waliomsimamisha walikwambia wamemsimamisha kwasabb gani? Kichwa kikubwa kimejaa kinyesi
 
Othman Kazi hana moral authority ya kuchambua maamuzi ya marefa.

Aliwahi kukiri kwa mdomo wake kupokea rushwa ya laki mbili ili kupindisha matokeo kule Songea.

Huyo achukuliwe with a pinch of salt!
 
Kwa kweli walikurupuka. KMC hawakulalamika, ila wafuasi wa zahera kwenye mitandao. Ila waamuzi wa pembeni hasa yule mama alichemka kutokana na uwezo wake wa kutafsiri offside. Kagoat alichezesha vizuri tu.

Kufuata weledi Tanzania ni shida sana, inabidi uwaridhishe watu wote hata kama kuna upande hauko sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…