2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,232
- 4,927
Baada ya serikali kutoa daladala za Kimara Mbezi hali ilikuwa mbaya sana kwa pande zote, msafirishaji UDart alizidiwa na abiria waliteseka kutokana na mahitaji kuwa makubwa. Mabasi mengi yalichoka yakakosa service yakapungua haki ikazidi kuwa mbaya.
Hatua iliyofuata serikali kupitia LATRA walirudisha ruti hiyo ili kupunguza uhaba. Je vipi kuhusu njia ya Mbagala?
MZIGO KWA ABIRIA HUU
Kariakoo Gerezani mpaka Kisemvule nauli 1200. Utaratibu mpya unakuwa hivi, Mwendokasi Gerezani-Mbagala nauli 1000, ukifika Mbagala unachukua daladala nyingine 900 mpaka 1000 jumla 2000.
Sasa hapo ni kumsaidia mwananchi au kumkomoa?
USHAURI WANGU
Serikali ingeweka utaratibu wa kumsaidia msafiri.
1. Mwendokasi nauli ipungue irudi 650
2. Ruti ndefu gari ziachwe(Gerezani Kongowe, Mbande kwenda mbele)
Wenye mabasi makubwa TATA yapewe leseni maalumu ya kupita mwendokasi kwa sharti la kotoshusha abiria njiani mpaka wavuke rangi 3.
Hivyo tu.