Mbagala hakuna shida angalia maeneo niliyotajaWatu wa mbagala jitaidin kubadilika sasa na nyie hizo daladala lazima ziondoke
Dunia inabadilika hatuwezi Baki vile vile utazan tupo kigoma hapa nini sasa maana ya kuleta mwendokasi na kujenga njia zake
Tatizo ni kwamba BRT sio mradi wa serikali, ni wa watu ambao wanaiendesha serikali wanavyotakaBaada ya serikali kutoa daladala za Kimara Mbezi hali ilikuwa mbaya sana kwa pande zote, msafirishaji UDart alizidiwa na abiria waliteseka kutokana na mahitaji kuwa makubwa. Mabasi mengi yalichoka yakakosa service yakapungua haki ikazidi kuwa mbaya.
Hatua iliyofuata serikali kupitia LATRA walirudisha ruti hiyo ili kupunguza uhaba. Je vipi kuhusu njia ya Mbagala?
MZIGO KWA ABIRIA HUU
Kariakoo Gerezani mpaka Kisemvule nauli 1200. Utaratibu mpya unakuwa hivi, Mwendokasi Gerezani-Mbagala nauli 1000, ukifika Mbagala unachukua daladala nyingine 900 mpaka 1000 jumla 2000.
Sasa hapo ni kumsaidia mwananchi au kumkomoa?
USHAURI WANGU
Serikali ingeweka utaratibu wa kumsaidia msafiri.
1. Mwendokasi nauli ipungue irudi 650
2. Ruti ndefu gari ziachwe(Gerezani Kongowe, Mbande kwenda mbele)
Wenye mabasi makubwa TATA yapewe leseni maalumu ya kupita mwendokasi kwa sharti la kotoshusha abiria njiani mpaka wavuke rangi 3.
Hivyo tu.
Huku mboto bado haijaanza waache kuyaletaWanaokaa chanika wajipange
Kibiashara ni FURSA lakini kamazoea ni KERO, UDART wanaweza kuona ni KERO kuona abiria ni wengi utadhani abiria wanapanda mabasi yao BURE!Kwa mbagala wakieza kutoa gari za mwendokasi kila baada ya dk 2 ndiyo wataweza kuhudumia hiyo ruti tofauti na hapo ni mateso tuu, ila route ya Kisemvule to gerezani waiache.
Unajua mradi wa mwendo kasi ulissiniwa lini . Ilikuwa 2003.Watu wa mbagala jitaidin kubadilika sasa na nyie hizo daladala lazima ziondoke
Dunia inabadilika hatuwezi Baki vile vile utazan tupo kigoma hapa nini sasa maana ya kuleta mwendokasi na kujenga njia zake