Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,197
- 14,902
Baada ya watu fulani kutaka kutugombanisha Watanzania kwa kutumia UDini, huu ndio uamuzi wa Waislamu na Wakristo nchini.
Kuanzia sasa, salamu za Merry Christmas tutakuwa tunatakiana kwa kusema "Christmas Mubarak" na salamu za Idd Mubarak tutatakiana kwa kusema "Merry Idd".
Mimi ni muwakilishi pekee wa kikao hicho, kwahyo mliokosa kushiriki kikao huo ndio msimamo wetu
Asanteni kwa kunipatia muda wenu.
MBARIKIWE SANA