Uamuzi wa Waislamu na Wakristo baada ya jaribio la kugombanishwa

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,197
Reaction score
14,902
Baada ya watu fulani kutaka kutugombanisha Watanzania kwa kutumia UDini, huu ndio uamuzi wa Waislamu na Wakristo nchini.

Kuanzia sasa, salamu za Merry Christmas tutakuwa tunatakiana kwa kusema "Christmas Mubarak" na salamu za Idd Mubarak tutatakiana kwa kusema "Merry Idd".

Mimi ni muwakilishi pekee wa kikao hicho, kwahyo mliokosa kushiriki kikao huo ndio msimamo wetu

Asanteni kwa kunipatia muda wenu.

MBARIKIWE SANA

Mjanja M1
 
Yes dini ni miradi ya watu. Ila utu na umoja ndio nguzo
 
Kama hivi
 

Attachments

  • 1763707076596.Screenshot_20251121-093719.jpg
    78.7 KB · Views: 32
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…