Uanachama wa CCM

Uanachama wa CCM

Patriot3

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2022
Posts
336
Reaction score
553
Kuna category mbili za wanachama wa CCM
a) The Selfish
b) The ignorant.

a) The selfish. Hawa wanufaika wa mfumo moja kwa moja. Wanajua ubaya wote ila wana hofu na mabadiliko kwa kuwa yatagusa maslahi yao. Hawa kwa lugha ya kikombozi wanaitwa collaborators. Hawa pia walikuwa Kikwazo katika harakati za kusaka uhuru. They were already given privileges by the colonial master only on condition that they keep their comrades under check.

b) The ignorant. Hawa ni wafuasi washabiki. Siasa kwao ni kama Simba na Yanga. Elimu yao na uelewa wao ni mdogo. Ni rahisi kurubunika kwa siasa- taka. Habari njema hawa wanaweza kuelimika wakipata wa kuwafungua.

Kundi la kwanza ndio hatari zaidi. Hawa wanaweza hata kuua ilimradi kulinda maslahi.

Wewe upo kundi gani? The selfish ams the ignorant?
 
Mimi sipo kundi lolote katika hayo kwa kuwa sio mwanachama wa chama hicho, wala chama kingine cha siasa.
Hata kama ningekuwa mwana CCM nisingekuwepo kwenye makundi hayo wawili. Naamini hata sasa huko CCM wapo wanachama ambao si selfish wala si wajinga, hata kama ni wachache
 
Nani huyo umjuaye
 
Back
Top Bottom