Uanasheria; Taaluma inayoongoza kwa wasomi wanaoringa

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,584
Tza kumekuwa na katabia kaajabu sana taaluma zipo nyingi sana tena muhimu zaidi ya sheria but hii taaluma wanajisikia sana !
Wanajisikia kuanzia
wanavyovaa,
wanavyoongea
Wanavyotembea na mbaya zaidi
Wanavyojichukulia

Alafu wanajiita "wanasheria wasomi" [emoji2]

Hivi hizi taaluma nyingine kama;
Udaktari
Unesi
Ualimu
Uhasibu
Uinjinia
Mbona hawana makuu nyie maHKL ndio mnavimbaa na kujifanya wanajua kila kitu japo wengi wao tumewaburuza sana class huko O level leo wanajifanya wanajua kila kitu alafu salary scale ndio hizohizo but mnavimba na viIST vyenu vya mikopo
Mbona taaluma nyingine tunaishi tu simple tu, tunaheshimu kila mtu, tunaishi kila sehemu na kila mtu na kikubwa zaidi tu TUNASOLVE CONFLICTS kwa busara na kupuuza but mwanasheria kila kitu anataka mpelekane mahakamani hapa nakumbuka
"Mjinga ukimpa nyundo kila tatizo anataka alitatue/alimalize kwa kutumia nyundo.

Ukienda mahakamani unashida na hakimu utasikia "mheshimiwa" yupo bussy!!!
Duh makubwa yani sisi ni raia maHKL ndio wawe waheshimiwa

Wanasheria acheni makuu mnaboa kinoma mjue.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unatusingizia mambo mabaya Mkuu?, anyway ni mtazamo wako pia


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Wanasheria watachomwa Moto Sana ndo hawahawa ambao hata ukiua wanakwambia uwaambie kila kitu then wenyewe wanatengeneza mazingira ya wewe kuchomoka.pumbafu Sana Hawa watu

Taaluma ya kishetani sana alafu wanajisikia
 
Wenzako wanaringa kwa sababu wana solve "conflicts" wakati wewe una solve "comflicts" sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…