Uanasheria; Taaluma inayoongoza kwa wasomi wanaoringa

Uanasheria; Taaluma inayoongoza kwa wasomi wanaoringa

Huu ni uchochezi, tukutane court/kisutu next Monday, tena ukiwa na wadhamini, la sivyo uje na ndoo ya vitu vya kwenda navyo Segerea!
 
mtoa mada unauelewa mziki wa law school kweli?? pambana na hali yako tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mziki gani labda?
Acheni kujipa moyo nyie hkl
Kukariri kesi na vifungu vya sheria ndio unaita mziki? Mlikua mnatisha tisha watu wakati nchi haijapata wasomi, saivi watu wamesoma sana hata hiyo sheria yenyewe tumegundua haina lolote maana wakimaliza nao wanarudi kitaa kuhangaika ajira kama fani zingine hawana kipya chochote cha maana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ICA, WPE, OPE FE siyo mchezo. Ukitoka hapo lazima unakuwa Learned Advocate.

Kama vipi na wengnine wajiite learned teacher, learned engineer, leaned nurse
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahaha. Hawa learned nurses mbona hainogi aiseee! Doh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu div 0 ndo huwa wanawaajiri nyie mliosoma muwe wafanyakaz wao na wanawalipa mishahara.
Ujanja hela sio shule mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app


Pole sana. Huwezi kuwa na vyote. Hapo unaganga njaa na elimu bado hakuna. Ushauri ni kwamba kama unapata mlo kwa siku, we pambana tu maana elimu huna na maisha huna. Najua inakuuma lakini pole
 
Kwa iyo umekubali kuwa usomi sio ishu...ishu ni mtaa unakupokeaje baada ya usomi wako
Au sio ivo
Kwani umeombwa hela na Wakili Msomi?

Au ni wivu tu?

Kama unahisi lawyers wanaringa, na wewe waringie au achana nao. Kwani wamekiuka haki zako za msingi ? Au wakiringa wanakuwa wamevunja sheria?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom